Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Kiukweli jinsi wenzetu Kenya wanavyojaribu kutumia umoja wao kudai Chao vilevile huko Africa kusini, Senegal na nchi mbalimbali imeonekana nguvu ya wanachi inamana sana kwenye kudai Jambo lao.
Huku kwa ndugu zangu wapinzani wasiojua wanataka Nini wanejikuta wanatamani sana nao wangekuwa kwenye maandamano ambapo Kama wangefanya Basi serikali iliopo madarakani ingewasikia angalu na kuanza kuweka Mambo yao sawa.
Ila Mambo yanawawia mrama mpaka sasa wanajiuliza wajichanganye waitishe maandamano Ila wakijiuliza kwa hoja zipi hapo ndio wanajiona kuwa hawana maana kabisa mana kipindi Cha tozo za simu zilipoanza walikaa kimya, zikaja tozo za benki, ikaja kupanda gharama za mawasiliano, likaja swala ls unga na mchele kuwa Mara mbili ys Bei bado wamekaa kimya.
Mbaya zaidi hata walipopewa nafasi ya kufanya mikutano ambayo walikuwa wanaililia hyo nafasi lakini baada ya kupata waneshindwa kuitumia hyo nafasi instead of kujenga hoja wao walienda kumtukana chuma, The one man show JPM na kujikuta wanaowasikiliza kuanza kuwapuuza na kuwaona hawanazo vizuri kichwani.
Mfano hiv chadema wanashindwa hata kuleta hoja za vijana kujikita kwenye kilimo au uvuvi kulingana na mazingira wanapoenda kufanya mikutano yao?
Kiukweli Kama Kuna idara ya ujasusi chadema Basi haufanyi kazi ipasavyo Kwan tar 20 Machi ilikuwa tarehe muhimu sana kimapinduzi ya fikra hasa kwenye vyama vyasiasa na ili kujua kuwa hawawez kujipanga kipindi wamepata ruhusa ya mikutano n hapo wangeanza dozi dhidi ya Hali ya maisha tuliyonayo Tanzania na Ile Machi 20 ingekuwa kwenye akili Basi ilkua n kumsukuma mlevi kwenye mteremko.
CHADEMA wanatamani sana nao wangekuwa kwenye maandamano Ila tayari walishajichanganya na kuweka maslai ya Tumbo mbele kuliko dhamira wanayoitegemea mpaka sasa mbwa aliejipeleka kwa chatu alishamezwa hata atoboe Tumbo la chatu lakini kaeni mkijua tayari mpo kwenye Tumbo la chatu na chatu akijikunja tuu Basi ujue maisha hamna.
Mkate umekutana na chai