LGE2024 CHADEMA wanatoa Tamko kuhusu hali ya Kisiasa inayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Nendeni mahakamani kufuta uchaguzi sio kususa
 
Chadema ni kama team ya mpira mazoezi hawataki lakini wanaota kushinda mpira. Hawatumii nguvu kushawishi watu kuwachagua ni wako akitafuta huruma tu kuwa wanaonewa bila wao kufanya juhudi yoyote katika siasa. Wanasubiri wafanyiwe kitu na CCM ndio watoke kuomba huruma. Muda wa Chadema kujitafakari kama kweli wako serious.
 
makosa yapi? what would you have done if it were you?
Kuanzia mapema kulikuwa na viashiria vyote vya kuuchafua uchaguzi huu. Uandikishaji ulijaa madudu, lakini CHADEMA wakawa kama hawaoni.

Huo ulikiwa muda muafaka sana wa kususia uchaguzi
 
Simba na Yanga wana watu lakini wamejifunza haitoshi wanatumia muda kufanya promotion kuvuta watu waende kuwapa support sasa hawa Chadema wamekaa tu porojo maandalizi zero, siasa zero halafu utegemee kweli kushinda?
 
Kuanzia mapema kulikuwa na viashiria vyote vya kuuchafua uchaguzi huu. Uandikishaji ulijaa madudu, lakini CHADEMA wakawa kama hawaoni.

Huo ulikiwa muda muafaka sana wa kususia uchaguzi
unasusia wanafanya kama walivyofanya 2019/2020...wako peke yao bungeni. sema labda kwenda msituni πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Chama kisichoweza kufikisha hata wanachama 20 kikiitisha maandamano hicho hakiwezi kutoa tamko
Unapenda vurugu eti?. Kwa hiyo unashawishi watu waandamane kisha useme mengine. Acha utumwa wa mawazo..!Waambie polisi walinde maandamano utajua watu wapo au hawapo. Ccm waoga sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ bila tume huru na katiba mpya hatutashiriki uchaguzi wowote.
 
Unapenda vurugu eti?. Kwa hiyo unashawishi watu waandamane kisha useme mengine. Acha utumwa wa mawazo..!Waambie polisi walinde maandamano utajua watu wapo au hawapo. Ccm waoga sana.
Kwanini siku ya maandamano hukujitokeza ? Uliogopa?
 
Tatizo kubwa la jamii yetu kwa sasa vijana wajielewi wanafikiri kazi ya demokrasia na haki ni kazi ya upinzani na wenyewe hawahusiki. Lakini vijana hao hao ndiyo wa kwanza kulalamika rushwa, ukiritimba na kwanini hatuna maendeleo. Sasa kama mnaruhusu rushwa uchawa msije kulalamika kukosa fursa. Na msije kulaumu upinzani wakati nyie wenyewe hamjafanya lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…