johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimeshangaa sana mtoto wa Mjini na Kiongozi wa siasa Kwa Miaka 34 Mzee Freeman Mbowe kuamini kuwa Kura zikihesabiwa mbele ya Camera ndio hazijaibiwa
Kwa Maana hiyo Chadema mko nyuma sana kifikra yaani mko zama za Mita 200 Kutoka Kituo cha Kupigia Kura 😂
Hapo Kenya Ili Ruto ashinde ilibidi uchaguzi wa Rais Kwa Watu wa Mombasa ufanyike Siku tofauti na County nyingine, Ule ndio mfano wa Wizi wa Kura wa Kizazi hiki
CCM wataendelea kuwachapa sana 😂😂