johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
We ni mwehu kila mara unaanzisha uzi wa chadema.Nimeshangaa sana mtoto wa Mjini na Kiongozi wa siasa Kwa Miaka 34 Mzee Freeman Mbowe kuamini kuwa Kura zikihesabiwa mbele ya Camera ndio hazijaibiwa
Kwa Maana hiyo Chadema mko nyuma sana kifikra yaani mko zama za Mita 200 Kutoka Kituo cha Kupigia Kura [emoji23]
Hapo Kenya Ili Ruto ashinde ilibidi uchaguzi wa Rais Kwa Watu wa Mombasa ufanyike Siku tofauti na County nyingine, Ule ndio mfano wa Wizi wa Kura wa Kizazi hiki
CCM wataendelea kuwachapa sana [emoji23][emoji23]
Hizi pombe za mchana zimekuwa kama ibada kwako yaani akili yako imefubaa imekuwa kama ya yule chawa Lucas Mwashambwa.Nimeshangaa sana mtoto wa Mjini na Kiongozi wa siasa Kwa Miaka 34 Mzee Freeman Mbowe kuamini kuwa Kura zikihesabiwa mbele ya Camera ndio hazijaibiwa
Kwa Maana hiyo Chadema mko nyuma sana kifikra yaani mko zama za Mita 200 Kutoka Kituo cha Kupigia Kura π
Hapo Kenya Ili Ruto ashinde ilibidi uchaguzi wa Rais Kwa Watu wa Mombasa ufanyike Siku tofauti na County nyingine, Ule ndio mfano wa Wizi wa Kura wa Kizazi hiki
CCM wataendelea kuwachapa sana ππ
Wewe gombea na Lissu kama utapata hata kura 2.We ni mwehu kila mara unaanzisha uzi wa chadema.
Ushakua mtopokaji kama lisu.
Mtanyeq ndoo wote nyambafu
Ubarikiwe sana na Mungu akusamehe.Hizi pombe za mchana zimekuwa kama ibada kwako yaani akili yako imefubaa imekuwa kama ya yule chawa Lucas Mwashambwa.
Mimi nimeshabarikiwa kitambo na Mungu wa Mbinguni ndiyo maana siishi kwa uchawa kama wewe.Ubarikiwe sana na Mungu akusamehe.
Mungu akusaidie na wewe uwe na akili kama walivyo binadamu wengine.Mimi nimeshabarikiwa kitambo na Mungu wa Mbinguni ndiyo maana siishi kwa uchawa kama wewe.
Akili ninazo za kutosha ndiyo maana mimi siyo chawa kama wewe unayeishi kwa matumaini ya kutupiwa makombo na watu unaowasifia sifia.Mungu akusaidie na wewe uwe na akili kama walivyo binadamu wengine.