CHADEMA wangekuwa wanashiriki I Uchaguzi CCM pangelikuwa na utulivu?

Chadema hawashiriki Uchaguzi sisiem hakuna utulivu ,ni sawa na kuku wa jirani alie kuwa anataga gheto kwako sasa kafungiwa bandani🤔
 
Ila kweli Kasi waliokuja nayo CHAUMMA ndio Kasi walioondoka nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…