Watanzania ni wanafiki, ukimsikia anasema "tuko pamoja" achana nae ni mnafiki atakuchoma huyo.Habari wakuu...
Nahisi Chadema kwenye strategy ya No reforms No election wangejaribu pia kushawishi vyama vingine vya upinzani kutoshoriki uchaguzi kama hakuna reforms.......
Hii ingewapa power upinzani na win ingekuwa win ya pamoja Chadema na vyama vingine vya upinzani.
Kuliko sasa hivi imebaki ni mission ya Chadema ambapo it means Chadema ndio 'stubborn ' wasiotaka peace.
Hii inawaweka vulnerable Chadema kuwa attacked na serikali ya CCM.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Imagine ingekuwa ni agenda ya vyama vyote vya upinzani wangemkamata nani? Huoni serikali ingekuwa confused? Na hata hizo International communities mnazotaka zi act on no reforms no election zita act kama kuna uzito unaotokana na muunganiko wa upinzani mfano viongozi wote wa upinzani wamekamatwa na serikali ya CCM hapo ndio mta draw attention kutoka jumuia za kimataifa. Kuliko sasa hivi mmemuachia Lissu na Chadema yake hizo jumuia za kimataifa zitaona hamna CONSISTENCY kama vyama vingine vya upinzani vinashiriki uchaguzi kasoro Chadema.
Mawazo yangu, what do you think?
Becky.
Yaani umshirikishe CHAUMA? Utakua hauko serious aiseeeeNahisi Chadema kwenye strategy ya No reforms No election wangejaribu pia kushawishi vyama vingine vya upinzani kutoshoriki uchaguzi kama hakuna reforms...
Hivi ni chama vya kimkakati vya CCM, wanavitumia ku-justify upumbavu wao na umeona wameshaanza kujitokeza na kusema wao watashiriki uchaguziKwa nini mkuu? Fafanua
Yule mzee wa maubwabwa na CHAUMA yake. Mzee Momose Cheyo na UDP yake. Hawa ni CCM pyua. Na wengine wengi. TLP na NCCR Mageuzi walishasema hawatakaa wafanye tena upuuzi huo maana wakati wa UKAWA na kabla ya hapo waliahidiwa sijui vitu gani na CHADEMA (kuachiana majimbo na kusaidiana kupiga kampeni); lakini hawakuambulia kitu.Habari wakuu...
Nahisi Chadema kwenye strategy ya No reforms No election wangejaribu pia kushawishi vyama vingine vya upinzani kutoshoriki uchaguzi kama hakuna reforms.......
Hii ingewapa power upinzani na win ingekuwa win ya pamoja Chadema na vyama vingine vya upinzani.
Kuliko sasa hivi imebaki ni mission ya Chadema ambapo it means Chadema ndio 'stubborn ' wasiotaka peace.
Hii inawaweka vulnerable Chadema kuwa attacked na serikali ya CCM.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Imagine ingekuwa ni agenda ya vyama vyote vya upinzani wangemkamata nani? Huoni serikali ingekuwa confused? Na hata hizo International communities mnazotaka zi act on no reforms no election zita act kama kuna uzito unaotokana na muunganiko wa upinzani mfano viongozi wote wa upinzani wamekamatwa na serikali ya CCM hapo ndio mta draw attention kutoka jumuia za kimataifa. Kuliko sasa hivi mmemuachia Lissu na Chadema yake hizo jumuia za kimataifa zitaona hamna CONSISTENCY kama vyama vingine vya upinzani vinashiriki uchaguzi kasoro Chadema.
Mawazo yangu, what do you think?
Becky.
Sikujua Chadema inafanya kazi kwenye mazingira magumu hivi....kuwa chama kimoja cha upinzani katika mlolongo wa vyama vya kiserikali ni mazingira magumu kwa kweli....do you think they will succeed na mission yao ya No reforms No election ALONE??? Binafsi naona itakua ngumu kunavigate bila support ya upinzani na upinzani wenyewe ndio huo ni serikali in disguise...this pose a challenge kwq kweli.....Yule mzee wa maubwabwa na CHAUMA yake. Mzee Momose Cheyo na UDP yake. Hawa ni CCM pyua. Na wengine wengi. TLP na NCCR Mageuzi walishasema hawatakaa wafanye tena upuuzi huo maana wakati wa UKAWA na kabla ya hapo waliahidiwa sijui vitu gani na CHADEMA (kuachiana majimbo na kusaidiana kupiga kampeni); lakini hawakuambulia kitu.
Kama CHADEMA tu walikubali kugeuza gia angani Lowassa alipowaibukia na mabilioni yake, wakasahau kuwa wenyewe ndiyo walikuwa wamemchafua mzee wa watu beyond repair; unafikiri ni mpinzani gani atakayekataa mabilioni ya CCM ili tu ashiriki uchaguzi? Vyama hivi vya upinzani ni miradi ya watu binafsi na haviko pale kutekeleza kile kilichomo katika katiba na irani zake.
Kuungana kususia uchaguzi kwa wapinzani hawa haiwezekani! 📌📌📌📌
Ndivyo tulivyo, jaribu uone hata kama mmedhurumiwa wamo vigeugeu.Ndio tumefikia hapo...kuogopana namna hio?
Chadema haitokuwa na muda wa kushawishi vyama vingine vya upinzani viunge mkono hoja ambayo kwao siyo kipaumbele,chama kama Cuf na NLD utawaambia waunge mkono no reform no election watakukuelewa?Habari wakuu...