Chadema wanishawishi, maana naona iwe jua iwe mvua ccm itashinda. Sasa waniashawishi.
1. Hawatalalamika kama kura zao zimeibiwa?
2. Watazilinda kura zao?
PIA SOMA
- LGE2024 - CHADEMA ikikomaa itashinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
1. Hawatalalamika kama kura zao zimeibiwa?
2. Watazilinda kura zao?
PIA SOMA
- LGE2024 - CHADEMA ikikomaa itashinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa