kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Ukikaa na wananchi wengi wanaunga mkono mabadiliko na wanatamani sana madadiliko nchini, wamechoshwa kabisa na mambo ya CCM pamoja na ubinafsi wa CCM , ila tatizo kubwa ambalo kama chama mnatakiwa kulifanya ni kutafuta namna ya kuiondoa hofu iliyopo ndani ya wananchi dhidi ya matendo ya CCM,
Wananchi wanahofia sana kujionesha kushabikia upinzani kwa sababu ya vitisho vya CCM na hasa kutumia vyombo vya dola kwenye mambo ya chama, imefika mahali wananchi wanaogopa hata kuitaja CHADEMA hadharani au mbele ya watu,
Tafuteni namna ya kuiondoa hiyo hofu kwanza iliyopo kwa wananchi wawe na ujasiri wa kuhitaji mabadiliko hadharani kwa kujiamini.
kinyume na hapo hakuna jambo mtafanikiwa, mnaungwa mkono sana ila ni siri kwa siri tena kwa kificho kitu ambacho hakina msaada.