Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Hicho ni kikosi kazi maalum cha kulinda watawala wasisumbuliwe!Hii ndiyo maana halisi ya haki haiombwi, tukiweza kutokomeza sintofahamu hizi za wasiojulikana wanaojulikana , nchi itakuwa na amani hii
Can u imagine kwamba watu wanaua raia wasio na hatia kwa sababu ya kukosolewa tu, Africa ni Africa tu , ndiyo maana hatuendeleiHicho ni kikosi kazi maalum cha kulinda watawala wasisumbuliwe!
Tumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa Samia Suluhu Hassan kuwawezesha kukusanya ushahidiWafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamedai kuwa wataendelea kuandamana kwenda Ofisini kwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Mbeya kwa lengo la kumpa ushahidi wa watu wanaodai ni askari wamehusika na tukio la kumteka na kumjeruhi Mpalukwa Nyagali, maarufu Mdude na kuwataka wamrudishe.
View attachment 3324566