may be MATERNITY LEAVE.lkn tusubiri wana-CHADEMA watasemaje.
Tupo naye RSA anakula masters ya law. Naye ni mwanachama humo mbona!
Una maanisha kuwa yupo huku JF? LOL na inakuwaje kama yupo RSA na ni mwakilishi wa watu..anajigawaje kuhudhuria bunge nk, au labda pengine ana likizo? Just curious
hili Chadema mmechemsha mkipewa uwakilishi wa wananchi ndio mnajua kuna ksasa tukisema kwa hili hakuna tofauti na hao CCM mnabisha kwa hoja ipi? acheni ubinafsi ukikubali kutetea watu watumikie kama unaona elimu kwanza nenda class
Kweli wewe ni mshamba wa kijijini! Kada pinzani ni mshamba wa mjini, inabidi mkutane mtoane ushamba shamba wenu!
Una maanisha kuwa yupo huku JF? LOL na inakuwaje kama yupo RSA na ni mwakilishi wa watu..anajigawaje kuhudhuria bunge nk, au labda pengine ana likizo? Just curious
.....mbunge wa singida LAZARO MALANDO...yule bw mdogo muda mwingi anautumia kula nondos marekani ...
nakuliliaTanzania, not just curious. You have right to ask, sababu anakula pesa kutoka kwa tax payer.
.....mbunge wa singida LAZARO MALANDO...yule bw mdogo muda mwingi anautumia kula nondos marekani ...na akiwa na muda anahudhiria vikao bungeni..
degree za uzamili mbona hazina kokoro..mtu anaweza kula masters RSA ...na research akafnyia tanzania so muda mwingi akawa bongo...anakuwa anaenda college kila baada ya muda kufanya mitihani na kuhudhuria some lectures...hili jambo la kawaida kabisa kwa watu wa masters na phd...tatizo ni bachelors ..na hata ikiwa hiyo za correspondence zipo.....pia siku hizi kuna masters za executives ambazo ni convenient zaidi..kwa watu busy..
mwacheni binti ale nondo
..umenikumbusha wewe,huyu tapeli aliyetapeli watu Iowa na wa kujipendekeza kwa mama mkapa yuko wapi siku hizi? na anakula nondo gani hizo za masters maana hata degree ya kwanza alikuwa hajamaliza maana nasikia anasema ana degree,hii sampuli ndio viongozi wa bongo yaani kanyaboya tupu,mungu atusaidie tuu.