Ehhee, hii sasa ni issue. Ebu nipe nyeti zaidi za huyu bwana, ningependa kujua zaidi. Sikujua kuwa kumbe hata degree hakumaliza, basi bongo tuna kazi. Inakuwaje watu matapeli wanapenya kwenye sehemu nyeti katika taifa letu?
Kitila unataka kugombea Singida? naona unaanza kukusanya nondos haya mkuu kila la kheri...
..umenikumbusha wewe,huyu tapeli aliyetapeli watu Iowa na wa kujipendekeza kwa mama mkapa yuko wapi siku hizi? na anakula nondo gani hizo za masters maana hata degree ya kwanza alikuwa hajamaliza maana nasikia anasema ana degree,hii sampuli ndio viongozi wa bongo yaani kanyaboya tupu,mungu atusaidie tuu.