CHADEMA wapo kimya, CCM wanawayawaya

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
CHADEMA wapo kimya ila CCM wenyewe kila siku ndiyo wamekuwa wasemaji kwa niaba ya CHADEMA. Yaani CHADEMA wakitaka kusema CCM wanatumia vyombo vya dola kuwazuia kusema, wakikaa kimya bado inakuwa nongwa.

CCM wanaanza kuuliza "Mbona CHADEMA wapo kimya".
 
Sijawahi kuelewa unachoandika. Ubongo upo kweli huko upstairs?
 
Wewe mwenyewe si ujitokeze uwasemee naona una kamdomo mdomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…