LGE2024 Chadema wasema Mgombea wao ateuliwa kugombea CCM

LGE2024 Chadema wasema Mgombea wao ateuliwa kugombea CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Torra Siabba

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
243
Reaction score
287
Wana Jamvi salama.

Hebu sikieni hii hapa Kigoma Kusini Chama Cha Demokrasia na Maendeleo walimdhamini mgombea kwa tiketi ya Chadema lakini baada ya Uchambuzi wa Majina, jamaa kajikuta ameteuliwa kugombea kupitia CCM

Jamaa wa Chadema walivyomuona wakaweka pingamizi wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wakamrejesha Chadema.

Baada ya hilo wakamtoa tena kwa maana ya kumkata hana Sifa, sasa hivi hana sifa tena za kugombea.
 
Wana Jamvi salama.. hebu skieni hii hapa Kigoma Kusini Chama Cha Demokrasia na Maendeleo walimdhamini mgombea kwa tiketi ya Chadema lakini baada ya Uchambuzi wa Majina, jamaa kajikuta ameteuliwa kugombea kupitia CCM

Jamaa wa Chadema walivyomuona wakaweka pingamizi wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wakamrejesha Chademani..

Baada ya hilo wakamtoa tena kwa maana ya kumkata hana Sifa, sasaivi hana sifa tena za kugombea..
Chadema hadi.mjambe cheche niliwaambia mkanibishia ....chadema yote inaongozwa na watu wapuuzi wasio. Na akili wala vision .....kamwe awataweza kupambana na wahalifu wa ccm kwa jinsi walivyo .
 
Chadema hadi.mjambe cheche niliwaambia mkanibishia ....chadema yote inaongozwa na watu wapuuzi wasio. Na akili wala vision .....kamwe awataweza kupambana na wahalifu wa ccm kwa jinsi walivyo .
Nakuunga mkono, chama kinahitajika kuongozi asiyefuata sheria ili iwe Jino kwa jino..laiti ningepewa Chama, hakika wangeniua baada ya wao kuumia vya kutosha.
 
Kisa kama hicho cha uchafuzi wa uchaguzi unaofanywa na watendaji wa serikali ya CCM kimetokea Dodoma pia:

09 November 2024

Mtaa wa Medeli
Dodoma Tanzanoa

CHADEMA YAMJIA JUU MSIMAMIZI MSAIDIZI BAADA YA KUKATA JINA LA MGOMBEA WA MTAA WA MEDELI DODOMA

View: https://m.youtube.com/watch?v=RfFvzbn7b8k

Mtaa wa Medeli mjini Dodoma vituko vya wasimamizi wasaidizi kukata jina la mgombea wa CHADEMA Amosi Sylvester Lyaki yawekwa wazi ...

Mgombea huyo wa Amosi Sylvester Lyaki mkazi wa mtaa Kisasa Medeli Dodoma amekuwa kwa miaka 5 mjumbe wa serikali ya mtaa wa Kisasa Medeli toka mwaka 2019 hadi 19 October 2024.

Cha kushangaza nyumba yangu ipo Medeli, nina familia na ninejiandikisha katika daftari la mkazi wa mtaa wa Medeli, kitambulisho cha mpiga kura ni mkazi wa Medeli .... lakini naambiwa mimi siyo mkaazi wa Medeli wakidai mimi ni mkazi wa Bwawani

Kwanini wagombea wa CHADEMA tu ndiyo tunaenguliwa, tunaonelewa sana sisi wapinzani ... mimi nimemuongoza msimamizi msaidizi kama mjumbe wa serikali ya mtaa ...
 
Wana Jamvi salama.

Hebu sikieni hii hapa Kigoma Kusini Chama Cha Demokrasia na Maendeleo walimdhamini mgombea kwa tiketi ya Chadema lakini baada ya Uchambuzi wa Majina, jamaa kajikuta ameteuliwa kugombea kupitia CCM

Jamaa wa Chadema walivyomuona wakaweka pingamizi wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wakamrejesha Chadema.

Baada ya hilo wakamtoa tena kwa maana ya kumkata hana Sifa, sasa hivi hana sifa tena za kugombea.
Najiuliza sana, hivi Ccm kama hawataki uchaguzi si waache kutusumbua?? Waendelee na wizi wao hadi watanzania tuta kapo amua kuwa toa kwa mapanga? Wamesha tuona sie maboya
 
Najiuliza sana, hivi Ccm kama hawataki uchaguzi si waache kutusumbua?? Waendelee na wizi wao hadi watanzania tuta kapo amua kuwa toa kwa mapanga? Wamesha tuona sie maboya
Sasa kàma wànataka uçhaguzi wañgewaacha wagombea ili mfanye uçhaguzi.
Ni kwamba hawataki uçhaguzi.
 
Back
Top Bottom