Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
Chadema hadi.mjambe cheche niliwaambia mkanibishia ....chadema yote inaongozwa na watu wapuuzi wasio. Na akili wala vision .....kamwe awataweza kupambana na wahalifu wa ccm kwa jinsi walivyo .Wana Jamvi salama.. hebu skieni hii hapa Kigoma Kusini Chama Cha Demokrasia na Maendeleo walimdhamini mgombea kwa tiketi ya Chadema lakini baada ya Uchambuzi wa Majina, jamaa kajikuta ameteuliwa kugombea kupitia CCM
Jamaa wa Chadema walivyomuona wakaweka pingamizi wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wakamrejesha Chademani..
Baada ya hilo wakamtoa tena kwa maana ya kumkata hana Sifa, sasaivi hana sifa tena za kugombea..
Nakuunga mkono, chama kinahitajika kuongozi asiyefuata sheria ili iwe Jino kwa jino..laiti ningepewa Chama, hakika wangeniua baada ya wao kuumia vya kutosha.Chadema hadi.mjambe cheche niliwaambia mkanibishia ....chadema yote inaongozwa na watu wapuuzi wasio. Na akili wala vision .....kamwe awataweza kupambana na wahalifu wa ccm kwa jinsi walivyo .
Najiuliza sana, hivi Ccm kama hawataki uchaguzi si waache kutusumbua?? Waendelee na wizi wao hadi watanzania tuta kapo amua kuwa toa kwa mapanga? Wamesha tuona sie maboyaWana Jamvi salama.
Hebu sikieni hii hapa Kigoma Kusini Chama Cha Demokrasia na Maendeleo walimdhamini mgombea kwa tiketi ya Chadema lakini baada ya Uchambuzi wa Majina, jamaa kajikuta ameteuliwa kugombea kupitia CCM
Jamaa wa Chadema walivyomuona wakaweka pingamizi wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wakamrejesha Chadema.
Baada ya hilo wakamtoa tena kwa maana ya kumkata hana Sifa, sasa hivi hana sifa tena za kugombea.
Sasa kàma wànataka uçhaguzi wañgewaacha wagombea ili mfanye uçhaguzi.Najiuliza sana, hivi Ccm kama hawataki uchaguzi si waache kutusumbua?? Waendelee na wizi wao hadi watanzania tuta kapo amua kuwa toa kwa mapanga? Wamesha tuona sie maboya