johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni kwenda barabarani, watanzania wote, short of that hakuna kitu AU West Africa wajiondoe ECOWASHakuna namna Wabunge hawa wa Bunge la JMT wanaweza kufanya Mabadiliko yoyote yatakayowasaidia Wapinzani kwa Sababu Bunge zima ni la CCM
Kwahiyo Chadema wasiwachoshe Watu bure kwa Sababu hakuna Chochote wanachoweza kumshinikiza na kikakubaliwa na Wabunge wa CCM
Mlale Unono ππ
Hakuna namna nyingine !!suluhisho Chadema wangojee 2025 wajipange vizuri watapata wabunge kwa vile mama hatakubali kufanya ya 2020 kwa 4 Rs anazotaka kuzitekeleza hata kwa mwelekeo anaouonuesha angalau kwa 30% si haba wakipata wabunge ndipo waanze kupambana na katiba mpya atawapa. Hiyo ndiyo strategy. waendelee na zoezi la kuandikisha wanachama na kufufua matawi. mikutano mingi sana.
Ngoja Tusubiri tuone !Kwani bunge la wananchi vs Bunge la CCM wepi wengi?
Numbers don't lie.
Tusubiri.
eti tume ya uchaguzi iajiri watumishi wake πHakuna namna Wabunge hawa wa Bunge la JMT wanaweza kufanya Mabadiliko yoyote yatakayowasaidia Wapinzani kwa Sababu Bunge zima ni la CCM
Kwahiyo Chadema wasiwachoshe Watu bure kwa Sababu hakuna Chochote wanachoweza kumshinikiza na kikakubaliwa na Wabunge wa CCM
Mlale Unono ππ
Kwani matamanio yao nini bwashee?Hakuna namna Wabunge hawa wa Bunge la JMT wanaweza kufanya Mabadiliko yoyote yatakayowasaidia Wapinzani kwa Sababu Bunge zima ni la CCM
Kwahiyo Chadema wasiwachoshe Watu bure kwa Sababu hakuna Chochote wanachoweza kumshinikiza na kikakubaliwa na Wabunge wa CCM
Mlale Unono ππ
suluhisho Chadema wangojee 2025 wajipange vizuri watapata wabunge kwa vile mama hatakubali kufanya ya 2020 kwa 4 Rs anazotaka kuzitekeleza hata kwa mwelekeo anaouonuesha angalau kwa 30% si haba wakipata wabunge ndipo waanze kupambana na katiba mpya atawapa. Hiyo ndiyo strategy. waendelee na zoezi la kuandikisha wanachama na kufufua matawi. mikutano mingi sana.
unajitambua wapi wew akati bado unaishi kwa wazazi πKushiriki uchaguzi ambao tume ya uchaguzi inawajibika kwa mwenyekiti wa ccm huku ukitegemea % fulani ya hisani kutoka kwake, ni matumizi mabaya ya raslimali muda na akili. Vyama vinavyotaka kushiriki huo usanii uitwao uchaguzi Ili vipewe viti vya hisani vinaweza kushiriki tu, lakini wapiga kura tunaojitambua hatuko tayari tena kupotezewa muda. Itatafutwa njia nyingine ya kupata viongozi, ila sio ya hizo chaguzi za kihayawani.
unajitambua wapi wew akati bado unaishi kwa wazazi π
unashiriki hadi hayo mageuzi ndio maana hutaki kutoka homeπ€£Ni kweli kabisa ππ.