CHADEMA wasipojiangalia watakuwa kama TAWI la Tanganyika Law Society, nawaona Marais wastaafu Wawili wa TLS Uongozini na Mawakili kibao!

Natoa tu angalizo Maana hata ODM ya Kenya ilijiegemeza sana Kwa Mawakili na Wanasheria ila sasa imekuwa Mdebwedo kama Matokeo ya huo ubia

Happy New Year Tundu Lisu

Ahsanteni sana 😄
Kuna Taasisi yenye watu wenye akili nchi hii kama TLS?

Weka Taasisi zote za nchi hii za Serikali na zisizo za Serikali hakuna Taasisi nchi hii yenye watu wenye akili na wanaojitambua kama TLS.

Baada ya TLS wanafuata JWTZ ingawa nao wanatakiwa kujirekebisha kidogo.
 
Wale vilaza wa HKL na HGL ndio unaita wenye akili mkuu?😂

Ushawahi sikia Vyama vya Ma enginia
Madaktari
Manesi
Ma physicians
Ma Neurologist
Na Astronaut
Nk..
Ni kwamba TLS imeamua kuwa Chama cha harakati lakini kuhusu Akili, wapo wengi tu wenye akili nyingi kuwazidi.
 
Eti kilaza Nshala ndio mwanasheria mkuu wa chama, hajui hata katiba ya chadema, mbowe huko aliko atakuwa anachekea chooni jinsi chama kinavyoendeshwa kihuni
 
Kweli uvccm mnawashwa sana na chadema siku hizi, kwani wakiwa tawi nyie mnaathirika nini?
 
Eti kilaza Nshala ndio mwanasheria mkuu wa chama, hajui hata katiba ya chadema, mbowe huko aliko atakuwa anachekea chooni jinsi chama kinavyoendeshwa kihuni
We professional upo wapi na umeachieve nini kwa maisha yako zaidi ya uchawa hapa jf? Tungekuwa tunaonana wanajf ingekua hatari sana! Internet warriors
 
Wale vilaza wa HKL na HGL ndio unaita wenye akili mkuu?😂

Ushawahi sikia Vyama vya Ma enginia
Madaktari
Manesi
Ma physicians
Ma Neurologist
Na Astronaut
Nk..
Ni kwamba TLS imeamua kuwa Chama cha harakati lakini kuhusu Akili, wapo wengi tu wenye akili nyingi kuwazidi.
Hao madaktari na manesi wanaonunua fomu ya mgombea wa CCM ndo wana akili?

Au hao ma engineer waliomnunulia Samia helicopter ya Kampeni ndo wana akili?

Achaga masikhara kwenye mambo ya msingi.
 
Kuna Taasisi yenye watu wenye akili nchi hii kama TLS?

Weka Taasisi zote za nchi hii za Serikali na zisizo za Serikali hakuna Taasisi nchi hii yenye watu wenye akili na wanaojitambua kama TLS.

Baada ya TLS wanafuata JWTZ ingawa nao wanatakiwa kujirekebisha kidogo.
Wameifanyia nn nchi hii? Kwanza hakuna mwanasheria mwenye akili.
 
Wale vilaza wa HKL na HGL ndio unaita wenye akili mkuu?😂

Ushawahi sikia Vyama vya Ma enginia
Madaktari
Manesi
Ma physicians
Ma Neurologist
Na Astronaut
Nk..
Ni kwamba TLS imeamua kuwa Chama cha harakati lakini kuhusu Akili, wapo wengi tu wenye akili nyingi kuwazidi.
Umemaliza 😄😄
 
Back
Top Bottom