johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Punguza ushauri sana, hauwasaidiiNatoa tu angalizo Maana hata ODM ya Kenya ilijiegemeza sana Kwa Mawakili na Wanasheria ila sasa imekuwa Mdebwedo kama Matokeo ya huo ubia
Happy New Year Tundu Lisu
Ahsanteni sana π
TLS ndio tawi la CHADEMA, na hilo ni jambo jema tu.Natoa tu angalizo Maana hata ODM ya Kenya ilijiegemeza sana Kwa Mawakili na Wanasheria ila sasa imekuwa Mdebwedo kama Matokeo ya huo ubia
Happy New Year Tundu Lisu
Ahsanteni sana π
Kuna Taasisi yenye watu wenye akili nchi hii kama TLS?Natoa tu angalizo Maana hata ODM ya Kenya ilijiegemeza sana Kwa Mawakili na Wanasheria ila sasa imekuwa Mdebwedo kama Matokeo ya huo ubia
Happy New Year Tundu Lisu
Ahsanteni sana π
Wale vilaza wa HKL na HGL ndio unaita wenye akili mkuu?πKuna Taasisi yenye watu wenye akili nchi hii kama TLS?
Weka Taasisi zote za nchi hii za Serikali na zisizo za Serikali hakuna Taasisi nchi hii yenye watu wenye akili na wanaojitambua kama TLS.
Baada ya TLS wanafuata JWTZ ingawa nao wanatakiwa kujirekebisha kidogo.
Kweli uvccm mnawashwa sana na chadema siku hizi, kwani wakiwa tawi nyie mnaathirika nini?Natoa tu angalizo Maana hata ODM ya Kenya ilijiegemeza sana Kwa Mawakili na Wanasheria ila sasa imekuwa Mdebwedo kama Matokeo ya huo ubia
Happy New Year Tundu Lisu
Ahsanteni sana π
we nawe utokea wapi? Id mpya hii kutwa kui dis chademaEti kilaza Nshala ndio mwanasheria mkuu wa chama, hajui hata katiba ya chadema, mbowe huko aliko atakuwa anachekea chooni jinsi chama kinavyoendeshwa kihuni
We professional upo wapi na umeachieve nini kwa maisha yako zaidi ya uchawa hapa jf? Tungekuwa tunaonana wanajf ingekua hatari sana! Internet warriorsEti kilaza Nshala ndio mwanasheria mkuu wa chama, hajui hata katiba ya chadema, mbowe huko aliko atakuwa anachekea chooni jinsi chama kinavyoendeshwa kihuni
Hao madaktari na manesi wanaonunua fomu ya mgombea wa CCM ndo wana akili?Wale vilaza wa HKL na HGL ndio unaita wenye akili mkuu?π
Ushawahi sikia Vyama vya Ma enginia
Madaktari
Manesi
Ma physicians
Ma Neurologist
Na Astronaut
Nk..
Ni kwamba TLS imeamua kuwa Chama cha harakati lakini kuhusu Akili, wapo wengi tu wenye akili nyingi kuwazidi.
Wameifanyia nn nchi hii? Kwanza hakuna mwanasheria mwenye akili.Kuna Taasisi yenye watu wenye akili nchi hii kama TLS?
Weka Taasisi zote za nchi hii za Serikali na zisizo za Serikali hakuna Taasisi nchi hii yenye watu wenye akili na wanaojitambua kama TLS.
Baada ya TLS wanafuata JWTZ ingawa nao wanatakiwa kujirekebisha kidogo.
Na ccm tawi la nn?Natoa tu angalizo Maana hata ODM ya Kenya ilijiegemeza sana Kwa Mawakili na Wanasheria ila sasa imekuwa Mdebwedo kama Matokeo ya huo ubia
Happy New Year Tundu Lisu
Ahsanteni sana π
Umemaliza ππWale vilaza wa HKL na HGL ndio unaita wenye akili mkuu?π
Ushawahi sikia Vyama vya Ma enginia
Madaktari
Manesi
Ma physicians
Ma Neurologist
Na Astronaut
Nk..
Ni kwamba TLS imeamua kuwa Chama cha harakati lakini kuhusu Akili, wapo wengi tu wenye akili nyingi kuwazidi.
Warioba hana akili? Lissu hana akili?Wameifanya nn nchi hii? Kwanza hakuna mwanasheria mwenye akili.
Kwani Mbowe siyo muhuni?πΌEti kilaza Nshala ndio mwanasheria mkuu wa chama, hajui hata katiba ya chadema, mbowe huko aliko atakuwa anachekea chooni jinsi chama kinavyoendeshwa kihuni