Endapo CHADEMA inataka kufikia malengo yake ya kisiasa basi wanapaswa kubadilika au kubadili aina ya style waliyo izoea kuitumia.
1. Waachane kabisa na lugha za matusi na kejeli ambazo tangu awali wamezizoea. Mara nyingi viongozi wa CHADEMA na hata wafuasi wake wamekuwa wakitumia kauli za matusi na kejeli wakidhani kuwa hiyo ni njia sahihi ya kujenga hoja au kushinikiza jambo. Lugha za matusi zinafanya watu wengi waone chadema ni chama cha wahuni.
2. Acheni ubabe na Jazba, wote kwa viongozi na wanachama. Ubabe na jazba havijengi bali vinabomoa, hivi karibuni mwenyekiti wa chama amesikika akitamka kwa jazba na ubabe kushinikiza juu ya upatikanaji wa katiba mpya na kuhamasisha maandamano.
Viongozi wa Chadema badilikeni au kwa lugha nyine mnapaswa mjivue gamba endapo tu mnataka kufanikiwa malengo yenu ya kisiasa vinginevyo mtaangukia pua.
Mmeanza kulikoroga tena katika awamu hii ya 6, badilikeni.