CHADEMA wasomeni watanzania siasa za shari hawazitaki kutokana malezi,elimu na utamaduni wetu msilinganishe na Gen Z ya Kenya wale
Gen Z ya Kenya wamelekewa malezi ya kizungu kuanzia malezi ya nyumbani, Elimu na tamaduni wanapenda za kizungu zaidi
Watanzania kuanzia nyumbani malezi yetu ya kiswahili kutomdharau mkubwa wako iwe kwa kuzaliwa,nyumbani kazini,nk hata kama ni bwege
Ukija elimu yetu ya msingi ambayo ndio base kuu mtoto hufunzwa royalty ya juu mno
Utamaduni wa Watanzania pia haupendi ugomvi wa aina yeyote Kenya wamezoea maugomvi kuanzia ya kikabila nk na hupenda ugomvi
Ukijumlisha na elimu ya kizungu ya kudai haki hata ukiwa mtoto bila woga toka shule za chini imewajengea jeuri toka wadogo
Tanzania mfumo wote ni matunda ya makezi,elimu na utamaduni wa kitanzania.Iwe kwa bunge, mahakama,Serikali au vyombo vya dola na wananchi
Linapokuja swala la jambo la shari katika jamii mfano la kisiasa makundi asilimia kubwa yote huungana kupinga kwa nguvu zote kupinga kuanzia wananchi,vyombo vya dola,bunge,mahakama na serikali
Siasa za shari kwa Tanzania ngumu kukubalika ndio Maana CUF walijaribu Zanzibar wakashindwa wakaishia kuzalisha wakimbizi tu na CHADEMA imeshajaribu jaribu mara ya mwisho 2015 ikashinfikana akina Lema wakaishia tu kutimkia Canada kama wakimbizi
Na kila la shari likizimwa wananchi unakuta hawajali utafikiri hakuna kilichotokea wanaendelea na maisha yao kama kawaida utafikiri huyo Sugu aliyebondwa virungu na polisi si lolote si chochote hawahitaji kutilia maanani utafikiri sio binadamu aliyebondwa virungu
Mtu kutaka kufia Watanzania sijui kuwapigania hawahitaji matumizi ya shari ukiingia kwenye shari wanakupinga na ukibondwa na polisi na kuswekwa ndani hawajali kabisa tena utasikia mzazi anamwambia kijana wake kama ukienda kushiriki hayo maandamano ya shari ukabondwa na polisi ukalazwa hospitali au ukaswekwa ndani siji kukuona mimi wala mama yako na wala hela ya tiba sitoi wala dhamana kukutoa jela wafanye hao hao waliokutuma ufanye shari sotaki shari mimi.Ndio maana vijana wengi hawatoki kwenye maandamano ya shari au chochote cha shari kisiasa
CHADEMA wawasome Watanzania wavadili mbinu matusi kutukana viongozi na shari si sehemu ya malezi,elimu na utamaduni wa mtanzania
Badilini gia msiige Kenya