figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Kwa Chadema miezi mitatu ni kama miaka mitanoView attachment 3253473
Mapema leo tarehe 28 Februari 2025 viongozi wakuu wa Chama wakiongozwa na mwenyekiti Taifa Tundu Lissu wametembelea Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (Legal and Human Rights Centre - LHRC) na kupokelewa na Kaimu Mkurugenzi Wakili Fulgence Masawe.
Hii ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya viongozi kukutana na taasisi mbalimbali na watu mashuhuri kufanya nao mazungumzo na kufikisha ujumbe wa #NoReformsNoElection.
Mwenyekiti ameambata na Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. HecheJohn, Katibu Mkuu Mnyika na Naibu Katibu Mkuu Bara Amani Golugwa.
View attachment 3253474View attachment 3253475View attachment 3253476
Hebu swali lako liweke vizuri tukujibuNi wangapi ?
Lema simuoni, au yupo ktk gari?View attachment 3253473