Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wametoa wito kuwa katika Katiba Mpya ambayo wanaidai iwe na kipengele kinachotaka wateule wa Rais wapitishwe Bungeni kisha wandelee na kazi zao
Hayo yataepusha kuwa na watumishi ambao hawana weledi na watumishi ambao wanarekodi ya matukio ya uhalifu huko nyuma
Pia wamesema itasaidia kupunguza idadi ya watumishi wanaowajibika kwa Rais pekee ili wawe wanawajibika kwa umaa kwa ujumla