Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Katiba mpya ipi?!!!Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wametoa wito kuwa katika Katiba Mpya ambayo wanaidai iwe na kipengele kinachotaka wateule wa Rais wapitishwe Bungeni kisha wandelee na kazi zao
Hayo yataepusha kuwa na watumishi ambao hawana weledi na watumishi ambao wanarekodi ya matukio ya uhalifu huko nyuma
Pia wamesema itasaidia kupunguza idadi ya watumishi wanaowajibika kwa Rais pekee ili wawe wanawajibika kwa umaa kwa ujumla
Bunge lipi sasa?Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wametoa wito kuwa katika Katiba Mpya ambayo wanaidai iwe na kipengele kinachotaka wateule wa Rais wapitishwe Bungeni kisha wandelee na kazi zao
Hayo yataepusha kuwa na watumishi ambao hawana weledi na watumishi ambao wanarekodi ya matukio ya uhalifu huko nyuma
Pia wamesema itasaidia kupunguza idadi ya watumishi wanaowajibika kwa Rais pekee ili wawe wanawajibika kwa umaa kwa ujumla
Hawa wateule wanrais si ni makada wa chama? Kuna mawili, eidha CCM wataukataa au wakikubali kwa kuwa bunge ni rubber stamp, watawapitisha bila kuwachunguzaChama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wametoa wito kuwa katika Katiba Mpya ambayo wanaidai iwe na kipengele kinachotaka wateule wa Rais wapitishwe Bungeni kisha wandelee na kazi zao
Hayo yataepusha kuwa na watumishi ambao hawana weledi na watumishi ambao wanarekodi ya matukio ya uhalifu huko nyuma
Pia wamesema itasaidia kupunguza idadi ya watumishi wanaowajibika kwa Rais pekee ili wawe wanawajibika kwa umaa kwa ujumla
Kweli 🤣🤣Chadema wenyewe wanawajibika kwa mbowe tu, kwao mbowe ni malaika.
Akili tupu, hongera CDM!Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wametoa wito kuwa katika Katiba Mpya ambayo wanaidai iwe na kipengele kinachotaka wateule wa Rais wapitishwe Bungeni kisha wandelee na kazi zao
Hayo yataepusha kuwa na watumishi ambao hawana weledi na watumishi ambao wanarekodi ya matukio ya uhalifu huko nyuma
Pia wamesema itasaidia kupunguza idadi ya watumishi wanaowajibika kwa Rais pekee ili wawe wanawajibika kwa umaa kwa ujumla
Shida ni kwamba bunge ni la chama kimoja, na wateule wote ni ccm, unategemea kutakua na jipya hapo? Tatizo ni kubwa kukiko tunavyodhaniKuna hoja. Iboreshwe zaidi. Kwamb Bunge liwe na mamlaka ya kumhoji DC au RC pale anapoonekana kutenda kinyume.
Lakini Je Kwa Hunge kama Lipi?
Hiyo point imeletwa considering at S.T.PShida ni kwamba bunge ni la chama kimoja, na wateule wote ni ccm, unategemea kutakua na jipya hapo? Tatizo ni kubwa kukiko tunavyodhani
Maana hakuna bunge Kuna genge la wahuni tu wa Jiwe.Afadhali kama Hilo bunge lingekuwepo,
Kwa Sasa kufanya hivo ni upumbavu wa hali ya juu Sana.