Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kesho, tarehe 27 Novemba 2024, ni siku muhimu kwa Watanzania kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Hii ni fursa ya kipekee kwa wananchi waliojiandikisha kutumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua viongozi bora watakaosimamia maendeleo katika maeneo yao.
CHADEMA wametumia fursa hiyo pia kuwafundisha Wananchi hatua ya kupiga kura ya NDIO na HAPANA katika sanduku la kura.
CHADEMA wametumia fursa hiyo pia kuwafundisha Wananchi hatua ya kupiga kura ya NDIO na HAPANA katika sanduku la kura.