johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani hao waliokuwa wakiwapa posho ni pesa kutoka kwenye mifuko yao?Chadema watakapokuwa wanatueleza Yaliyomo kwenye Maridhiano wasisahau kutueleza na Bajeti ya Vikao ilikuwa bei gani na kama Wajumbe wao walilipwa Posho
Bado hatujasahau UKAWA walivyokuwa Posho zote za Bunge la Katiba na kisha kutokomea kusikojulikana
Jumaa Mubarak [emoji1]
Naunga mkono hoja!CHADEMA watakapokuwa wanatueleza yaliyomo kwenye Maridhiano wasisahau kutueleza na Bajeti ya Vikao ilikuwa bei gani na kama Wajumbe wao walilipwa Posho.
Bado hatujasahau UKAWA walivyokuwa Posho zote za Bunge la Katiba na kisha kutokomea kusikojulikana.
Jumaa Mubarak π
Muulize Samia anayo majibu mujarab.CHADEMA watakapokuwa wanatueleza yaliyomo kwenye Maridhiano wasisahau kutueleza na Bajeti ya Vikao ilikuwa bei gani na kama Wajumbe wao walilipwa Posho.
Bado hatujasahau UKAWA walivyokuwa Posho zote za Bunge la Katiba na kisha kutokomea kusikojulikana.
Jumaa Mubarak [emoji1]
Hilo la posho na kadhalika ni la kwako.CHADEMA watakapokuwa wanatueleza yaliyomo kwenye Maridhiano wasisahau kutueleza na Bajeti ya Vikao ilikuwa bei gani na kama Wajumbe wao walilipwa Posho.
Bado hatujasahau UKAWA walivyokuwa Posho zote za Bunge la Katiba na kisha kutokomea kusikojulikana.
Jumaa Mubarak π