muafi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,557
- 6,128
Ukiangalia Ratiba kwa sasa imeshakua ngumu, Reform ni mchakato mkubwa unaohusisha mpaka Bunge,
Bunge limebakiza takribani miezi sita tu kuvunjwa, hizo sheria na katiba atarekebisha nani?
Mda umebaki kidogo sana hii kitu tumeshachelewa haiwezekani kabisa, hili vuguvugu ilipaswa lianze tangu mwaka jana au mwaka juzi, kwa sasa ngoma bi ngumu
Tujipange labda mwakani ndio vuguvugu lianze
Soma: Tunasubiria Kuona Utekelezaji wa "No reform, No Election" ya Tundu Lissu