Elections 2010 Chadema watumie rangi nyeupe pe kwenye mikutano yao!


sikweli hapo,wanachama wengi wanapenda magwanda,mimi nafikiri tatizo ni gharama,kushona combat siyo chini ya elfu 40.Ni watanzania wangapi wanaweza kuwa na uwezo huo,ukizingatia vyama vya upinzani ni vyama vya walalahoi.

Lakini nimejionea mabadiliko makubwa sana kipindi hiki,wanachama wengi hata wapenzi wametaka kushona,tatizo lilijitokeza mtaalamu wa kuyshona bado hawajawa wengi.
 
Naomba kama kuna mtu anajua maana ya kila rangi katika bendera ya CHADEMA anielimishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…