Hawezi kuileta maana na yeye ni mnufaika wa rushwa za uchaguzi ndani ya ChademaHivi Erythrocyte yupo?!!! Mbona hajaileta hii mada uwanjani wakati ye ndo ripota mkuu wa cdm humu, au?!!!!
siku hizi yuko busy na makonda leo katoa kuwa makonda anawindwa na watu 8 kishaacha kushabikia ya chadema kaona wazushi tuHivi Erythrocyte yupo?!!! Mbona hajaileta hii mada uwanjani wakati ye ndo ripota mkuu wa cdm humu, au?!!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣siku hizi yuko busy na makonda leo katoa kuwa makonda anawindwa na watu 8 kishaacha kushabikia ya chadema kaona wazushi tu
CHADEMA wenyewe wameshaelewa mkuu.Nani afuatilie?