Chadema wawaombe radhi Mzee Ndugai na Hayati Magufuli Kwa kuwasingizia ndio waliowateua Wabunge 19 wa Chadema kumbe ni Wake wa Viongozi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Uungwana ni vitendo

Baada ya kuthibitishwa na aliyekuwa Mjumbe wa kamati Juu ya Chadema inayopitisha Majina ya Wabunge wa Viti maalumu Kwamba wale COVID 19 ni Wake wa Viongozi wa Chadema ni wakati Sasa Chadema waombe msamaha Kwa Ndugai, Magufuli, CCM na Wananchi Kwa Ujumla

Ni hilo tu

Happy New Year 😄
 
Ukiambiwa Mwendazake alimtuma mtu kwa Askofu Mwanakondoo Ameshinda kuwaambia Lissu na Mbowe waruhusu uapisho wa hao 19 uwe unaelewa
 
Kwani Mbowe alikuwa na jeuri mbele ya shujaa Magufuli?

Mbowe huyu huyu wa Billicanas? 🐼
 
Kweli Bongo kila kitu ni Bongo Movie.
Bongo ukiwa serious unajitesa tu, huku watu wanakucheka pembeni.
 
Back
Top Bottom