Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Baadhi ya mambo yaliyojitokeza kwenye majadiliano ya CHADEMA ni pamoja na kupenyezwa kwa hoja ya kuwasamehe wabunge 19 warejee kwenye chama. Wajumbe kwa kauli moja wamewakataa wabunge hao na kudai waliona wao ni muhimu kuliko chama waende kwa aliyewapeleka bungeni.
Hoja ya rushwa pia ilitikisa ambapo baadhi ya watu waliokuwa wanatumiwa na CCM kuchafua hali ya hewa wamejikuta wakikemewa kwa nguvu kubwa. Wajumbe kwa kauli moja wametamka kutokumuunga mkono kiongozi yeyote atakayepokea mlungula au kutumia pesa kupata madaraka
Aidha, wajumbe wamemuunga mkono Lissu kuhusu Muungano na Katiba mpya na kwamba hoja yake iendelee kupigiwa kelele bila soni kwa lengo la kuwakumbusha watawala kwamba nchi ni mali ya wananchi.
Awali CCM walipandkiza watu wakuvuruga mchakato jambo lililopelekea chadema kuweka mchakato wa mchujo wa wazi ambao umezima kelele zilizokuwa zinatolewa na baadhi ya viongozi wa CCM.
Ngoma imerudi uwanjani.