johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ngoja tuone bwashee!
Corona ya Mwanza ni Delta kutoka Uganda!
unaweza kutuwekea hapa idadi ya wagonjwa walio bugando ?Corona ya Mwanza ni Delta kutoka Uganda!
Kongamano bado lipo?unaweza kutuwekea hapa idadi ya wagonjwa walio bugando ?
CCM Jana DodomaChadema wamesema Kongamano la katiba siyo miongoni mwa mikusanyiko inayohitaji kuombewa kibali kwa mujibu wa sheria
Chadema wamesema watachukua tahadhari zote dhidi ya Corona katika kongamano la katiba hapo kesho kama ilivyoelekezwa na wizara ya afya
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Ccm ni chama tawala!
This time around watalipia kwa machozi na vilioCcm ni chama tawala!