CHADEMA yaanzisha Harambee ya kuchangia familia za walioshitakiwa kwa ugaidi

CHADEMA yaanzisha Harambee ya kuchangia familia za walioshitakiwa kwa ugaidi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa ya sasa inaeleza kwamba Chadema kupitia BAWACHA inawaomba wananchi wote kuchangia Familia za Makomandoo Adamoo na wenzake, walioshitakiwa kwa tuhuma za ugaidi, ambao inadawa ulifadhiliwa na mshitakiwa mwenzao Freeman Mbowe kwa kitita cha Tsh Laki 6.

Habari!%0A%0ATumefanikiwa_kupata_akaunti_namba%2C_wadau_wengi_wamesema_hawataki_kuchangia_kupi...jpg

Tayari mchakato wa kampeni hiyo umekamilika kwa kufungua akaunti Maalum katika benki ya NMB, yenye namba 22601605514 kwa jina la BAWACHA TAIFA, ambapo yeyote atakayeguswa anaruhusiwa kuweka pesa ili ziweze kusaidia familia za wahanga.

KUTOA NI MOYO
 
Mmepata sehem ya kupiga pesa tena maana ile mbinu ya kuchangisha ya mawakili iligomewa ,hapa muuza mayai lazima atoke likotambi

USSR
Mkuu kitoke mara ya ngapi?
 
Back
Top Bottom