Wapendwa watanzania wenzangu napenda kuchukua fursa hii kuwajulisha ya kuwa, Chuo kikuu cha Dodoma kimempata Raisi ambaye ni jembe(chadema) kukiongoza tena kwa kipindi kingine cha mwaka mmoja. tunafahamu ccm ilitumia mamilioni ya shilingi kufanikisha lakini nguvu ya umma ime play part.
.......,Elimu bila siasa ni bure.! Labda nawashauri wanachuo muwe makini na hi selikani yetu ktk hili jambo.Hivi nyie si mshakatazwa kuchanganya siasa na elimu.
Upuuzi mtupu,soma shule wewe maisha huyajui huku nje.Huyo kiongozi wako na usajili wa chama chako hapo chuo,unamsaada gani kwetu ama kwa Watanzania zaidi ya milioni 46?atapunguza bei ya bidhaa?.Zingatia masomo,uje uokoe Taifa vinginevyo utalamba disco na siasa zako ukingoni.
Hivi nyie si mshakatazwa kuchanganya siasa na elimu.

kila siku udom udom mmetuchosha punguzeni viherehere mbona vyuo vingine hawana viherehere humu!

Nilisikia mdogo wake hussein bashe naye aligombea urais wa chuo kizima na alikuwa na influence sana nini kilimsibu mpaka akadondoshwa.