CHADEMA yachukua uongozi udom

walimu wako wana kazi kweli kweli !!!!!!!!!you can not mediate or generalise reflection of reality and you have to study hard may be you will be able to analyse and synthesize thought derives from practical activity
 

ndio jina lake la ukweli kumbe hili? kweli udom kuna kazi ana jina baya hivi, thts why he is offmind
 
Siwezi wala sitoweza kukutukana sababu hujielewi umeumbwa kwa malengo gani.wewe mwenyewe mpaka leo una kigugumizi manake hizo habari za kifo cha osama huna uhakika nazo.mi naomba unipe picha ya mwili wake baadaya kufa,kwanini walizuia kufanyiwa kipimo cha dna,kwanini walimzika baharini?ukishindwa nipe walau picha ya huyo mkewe.sema kama wewe mwanamme kweli.manake hata huyo kafiri mwenzio obama uso umempayuka."eti tunazificha kwa sababu za kiusalama".hivi vyombo vyote vya habari mmevimiliki nyie kuna ukweli gani utakaosemwa kuhusu uislamu?
 
Kama husomi udom kwa nini unazungumza usoyaelewa?upumbavu umeuanza wewe kujidai kiherehere kujisemea usiyo na uhakika nayo.ulikuwa ukutane na sisi wenyewe tukwambie yanayojiri.baada ya kukwambia ukweli unajidai una busara sana sio?mbona hukuuliza uthibitisho tangu mwanzo kuhusu habari za coed&csh unataka uambiwe za pengo tu sio?kwa kuwa ndio mungu wako?au unadhani yeye ni ***** kama wewe.hajui anachofanya.na mimi nadhani unatoka mwituni.huijui udom "eti chuo cha kata" na baada ya kukwambia tutakufanyia kazi unajidai eti husomi udom ngoja tukufanyie kazi.na kama unaona tunakutisha tutakuthibitishia ukweli sasa.
 
osama kauwawa au hajauwawa nipe jibu moja na usitoe maelezo
 
Bwa ha ha ha !!! kazi ipo
 


aliyekuambia siasa haziruhusiwi chuoni nani?labda wewe ndo uta disco kwa kuwa huna akili...
 
Ni aibu kwa Nchi kuendeshwa kwa misingi ya kisiasa hadi kwenye vyuo vikuu. Watu kule wamefuata kusoma sio Magamba au Ndolema. Hakuna cha kufurahia lolote hapo maana chuoni watu wanafuata kusoma sio siasa. Mbona wanachadema tunajishushi hadhi hivi kila siku thread zinazohusu chama, Wabunge au Maandamano jamani tutafika kweli kwa kuifanya siasa iendeshe kila kitu maana yake sasa itafikia mpaka mtu wa hospital lazima awe Cdm.
 
nawapongeza sana na vijana wengine hakikisheni uongozi wa vyuo unashikwa na peoples power

Hongera zenu vijana,

Mkuu, kwani vyuo gani vingine ambavyo uongozi wa wanachuo umechukuliwa na 'people's power'
 
waislam msitake vita na wakristo ni wazi mtashndwa
Wakienda kwa pupa watashindwa afuate jinsi Mungu alivyomwasa nabii Mussa amwendee firauni kwa upole na sisi waislam tukiwaendea makafiri kwa upole bila shaka watalingania. Ila ikiwa mambo ya kejeli matusi na vijembe ni kweli waislam hawatawaweza makafiri kwa sababu makafiri wamejaaliwa midomoni mwao kashfa na kila aina ya maneno machafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…