hakuna wa kubabaika na ramli gentleman,Endeleeni tu kuchezea kodi za wananchi walalahoi wa nchi hii. Ipo siku mtazitapika.
Huko kama kuna Wazazi na hawajafanya kitu basi ni wapumbavu na waachiwe wakae chini kabisa.View attachment 3251873
Hangaya apate pia maelezo ya wanafunzi wa hii shule jinsi wanavyofurahia masomo kutokana na kuwajali kwenye majengo na miundombinu.
Hangaya hoyee!!
Iyo miradi mnaoitumia kuiba pesa za walipakodi kwa 10-20 percent zenu na kujinufaisha na familia zenu sio ?hakuna wa kubabaika na ramli gentleman,
Uchaguzi utafanyika October, miradi ya maendeleo ya wanainchi itaendelea kutekekezwa kwa pesa ya wananchi na ni kwa manufaa na maslahi yao wenyewe π
Una hakika mkuu? Ukiangalia hali na matukio yanayoendelea hapa duniani, mbona ni kama mungu kazidiwa?Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Angalia wafanya matukio wote wanakoishia, ukianza na JiweUna hakika mkuu? Ukiangalia hali na matukio yanayoendelea hapa duniani, mbona ni kama mungu kazidiwa?
Interesting.Huko kama kuna Wazazi na hawajafanya kitu basi ni wapumbavu na waachiwe wakae chini kabisa.
Lazima Wananchi wajenge walau maboma Ili Serikali i top up maana hapo sio Watoto wa Samia wanaosoma.
Chebukati wa Kenya amefariki, wananchi wanashangiliaAngalia wafanya matukio wote wanakoishia, ukianza na Jiwe
ππππ4R zimetikisa Geneva hivi majuzi.
CCM waoga kuliko kunguruMjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, amedai kuwa chama hicho kimezuiwa kufanya mkutano wake uliopangwa kufanyika leo, Februari 27, 2025, katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam.
Kupitia ujumbe wake kwenye mtandao wa X, Lema amesema walipata taarifa kuwa ukumbi waliokuwa wameukodi hauwezi kutumika kwa sababu ya hitilafu ya umeme na AC. Baada ya kuelekezwa kwenye hoteli ya Coral Beach kama mbadala, nao walizuiwa baadaye na menejimenti ya hoteli hiyo.
Lema ameitaja hali hiyo kuwa ni aina ya ubaguzi, lakini ameahidi kuwa CHADEMA haitakata tamaa. Mkutano huo sasa utafanyika katika Makao Makuu ya chama kuanzia saa 12:00 jioni leo.
Soma, Pia: Godbless Lema watangaza kufanya tukio kubwa Tarehe 27 Februari, 2025 ikiwemo kuzindua kampeni ya kidigitiali
Andiko la Lema kutoka X (zamani twitter);
"Tulikuwa Tumefanya Booking ya Ukumbi kwa ajili ya shughuli yetu leo 27/2/2025 ktk hotel ya Sea Clif Hotel. Asubuhi nilipigiwa simu nikaambiwa kuna dharura kuwa AC zimeharibika na umeme umekoroga hapa ukumbini na kwa hiyo hatuwezi kufanya mkutano wetu, Sea Cliff wakatutafutia ukumbi mbadala ktk hotel ya Coral beach."
"Tulienda Coral beach hotel na kukubaliana tutafanyia hapo na maandalizi yalianza. Baada ya masaa mawili nikipapigiwa simu kutoka kCoral beach kwamba wamepokea meseji kutoka menejimenti ya juu kuwa CHADEMA hawaruhusiwi kufanya mkutano hapo.
"Hii mbegu ya ubaguzi waliyopanda wataijutia sana. Hata hivyo hatuwezi kukata tamaa hivyo basi tumeamua kuwa tutaendelea na tukio letu kama lilivyopangwa ktk ukumbi wetu Makao Makuu ya Chama kuanzia saa 12:00 Jioni. Wanachama wote na waalikwa karibuni. Defeat is not an option."
We kapuku wa mwembeyanga milioni 10 uitoe wapi?Jioni hii nawaingizia mil 10 za madafu
Sea Cliff inamilikiwa na familia ya Karume, ufisadi haukuanza leoMjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, amedai kuwa chama hicho kimezuiwa kufanya mkutano wake uliopangwa kufanyika leo, Februari 27, 2025, katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam.
Kupitia ujumbe wake kwenye mtandao wa X, Lema amesema walipata taarifa kuwa ukumbi waliokuwa wameukodi hauwezi kutumika kwa sababu ya hitilafu ya umeme na AC. Baada ya kuelekezwa kwenye hoteli ya Coral Beach kama mbadala, nao walizuiwa baadaye na menejimenti ya hoteli hiyo.
Lema ameitaja hali hiyo kuwa ni aina ya ubaguzi, lakini ameahidi kuwa CHADEMA haitakata tamaa. Mkutano huo sasa utafanyika katika Makao Makuu ya chama kuanzia saa 12:00 jioni leo.
Soma, Pia: Godbless Lema watangaza kufanya tukio kubwa Tarehe 27 Februari, 2025 ikiwemo kuzindua kampeni ya kidigitiali
Andiko la Lema kutoka X (zamani twitter);
"Tulikuwa Tumefanya Booking ya Ukumbi kwa ajili ya shughuli yetu leo 27/2/2025 ktk hotel ya Sea Clif Hotel. Asubuhi nilipigiwa simu nikaambiwa kuna dharura kuwa AC zimeharibika na umeme umekoroga hapa ukumbini na kwa hiyo hatuwezi kufanya mkutano wetu, Sea Cliff wakatutafutia ukumbi mbadala ktk hotel ya Coral beach."
"Tulienda Coral beach hotel na kukubaliana tutafanyia hapo na maandalizi yalianza. Baada ya masaa mawili nikipapigiwa simu kutoka kCoral beach kwamba wamepokea meseji kutoka menejimenti ya juu kuwa CHADEMA hawaruhusiwi kufanya mkutano hapo.
"Hii mbegu ya ubaguzi waliyopanda wataijutia sana. Hata hivyo hatuwezi kukata tamaa hivyo basi tumeamua kuwa tutaendelea na tukio letu kama lilivyopangwa ktk ukumbi wetu Makao Makuu ya Chama kuanzia saa 12:00 Jioni. Wanachama wote na waalikwa karibuni. Defeat is not an option."
Mbowe nae amefanya tukio gani mpaka akaporwa uenyekiti na lisu?Angalia wafanya matukio wote wanakoishia, ukianza na Jiwe
Mna ofisi mikocheni tena ina ukumbi mkubwa, lakini mnakesha mahotelini tu kupishana na watu wanatoka kuoga au kuzini, baade mkija mtaani mnalia hamna hela. Hizo hoteli kumbi zake wanakodi watu wa benki ya dunia, nyie chama masikini mnataka mbanane nao!Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, amedai kuwa chama hicho kimezuiwa kufanya mkutano wake uliopangwa kufanyika leo, Februari 27, 2025, katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam.
Kupitia ujumbe wake kwenye mtandao wa X, Lema amesema walipata taarifa kuwa ukumbi waliokuwa wameukodi hauwezi kutumika kwa sababu ya hitilafu ya umeme na AC. Baada ya kuelekezwa kwenye hoteli ya Coral Beach kama mbadala, nao walizuiwa baadaye na menejimenti ya hoteli hiyo.
Lema ameitaja hali hiyo kuwa ni aina ya ubaguzi, lakini ameahidi kuwa CHADEMA haitakata tamaa. Mkutano huo sasa utafanyika katika Makao Makuu ya chama kuanzia saa 12:00 jioni leo.
Soma, Pia: Godbless Lema watangaza kufanya tukio kubwa Tarehe 27 Februari, 2025 ikiwemo kuzindua kampeni ya kidigitiali
Andiko la Lema kutoka X (zamani twitter);
"Tulikuwa Tumefanya Booking ya Ukumbi kwa ajili ya shughuli yetu leo 27/2/2025 ktk hotel ya Sea Clif Hotel. Asubuhi nilipigiwa simu nikaambiwa kuna dharura kuwa AC zimeharibika na umeme umekoroga hapa ukumbini na kwa hiyo hatuwezi kufanya mkutano wetu, Sea Cliff wakatutafutia ukumbi mbadala ktk hotel ya Coral beach."
"Tulienda Coral beach hotel na kukubaliana tutafanyia hapo na maandalizi yalianza. Baada ya masaa mawili nikipapigiwa simu kutoka kCoral beach kwamba wamepokea meseji kutoka menejimenti ya juu kuwa CHADEMA hawaruhusiwi kufanya mkutano hapo.
"Hii mbegu ya ubaguzi waliyopanda wataijutia sana. Hata hivyo hatuwezi kukata tamaa hivyo basi tumeamua kuwa tutaendelea na tukio letu kama lilivyopangwa ktk ukumbi wetu Makao Makuu ya Chama kuanzia saa 12:00 Jioni. Wanachama wote na waalikwa karibuni. Defeat is not an option."
Wanaishia wapi?Angalia wafanya matukio wote wanakoishia, ukianza na Jiwe