Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safi sanaUzi wako umekaa kiuchochezi
humu kama una stress unaweza ukajiongezea stress mpya."Chadema wakishirikiana na Mafisadi na wafanya biashara ndio walio sababisha tetemeko la ardi ili kuikomoa serekali na kumkwamisha mtukufu magufuli asiweze kutuletea maendeleo" KWA HABARI NYINGINE MOTO MOTO ENDELEA KUTAZAMA TBC UKWELI NA UHAKIKA
safi sana
Kama hawezi kuanzisha Uzi kalale au left in peace maana huu ni uchochezi
Tehehehehehehe....... Nimecheka Sana mkuu, ni kweli lazima watasema ni chadema, nyie ngojeni mtaona.nahisi itafika kipindi hali itakua hivi
kwamba kila jambo baya litakalo fanyika ni CHADEMA
kila jambo litakalo fanyika UCHOCHEZI
hili pia wanalionea aibu kusema lakini lipo kwenye akili zao