CHADEMA yadaiwa kuhusishwa na tetemeko la ardhi kanda ya ziwa

Vladimirr

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
546
Reaction score
569
nahisi itafika kipindi hali itakua hivi

kwamba kila jambo baya litakalo fanyika ni CHADEMA

kila jambo litakalo fanyika UCHOCHEZI

hili pia wanalionea aibu kusema lakini lipo kwenye akili zao
 
Siasa za kiafrika ni Tabu!na anaweza akatokea mtu mwenye kipaji chake akawaaminisha nyumbu wakaamini!!
 
[emoji15] Mweeeee!kila kitu ni LOWASEEEEER
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wadhiri mwenye dhamana hajafika kwenye eneo la tukio kulaani hicho kitendo???
 
"Chadema wakishirikiana na Mafisadi na wafanya biashara ndio walio sababisha tetemeko la ardi ili kuikomoa serekali na kumkwamisha mtukufu magufuli asiweze kutuletea maendeleo" KWA HABARI NYINGINE MOTO MOTO ENDELEA KUTAZAMA TBC UKWELI NA UHAKIKA
 
humu kama una stress unaweza ukajiongezea stress mpya.
 
nahisi itafika kipindi hali itakua hivi

kwamba kila jambo baya litakalo fanyika ni CHADEMA

kila jambo litakalo fanyika UCHOCHEZI

hili pia wanalionea aibu kusema lakini lipo kwenye akili zao
Tehehehehehehe....... Nimecheka Sana mkuu, ni kweli lazima watasema ni chadema, nyie ngojeni mtaona.
 
Mkuu kuogopa upinzani ni kwa sababu ya CHADEMA ni kweli tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…