CHADEMA yaiandikia UN barua kuhusu kuzuiwa kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani

Hakuna UN tena, imeshajifia.
Jana nilimuona Melania, mke wa Trump anaongoza kikao cha Baraza la usalama UN anaongea Kingereza cha lafudhi ya Warusi wafanya biashara wa silaha za magendo.
 
Waachieni wenyewe siku yao akina wambura na wenzake.
Polisi Wana haki ya kuwakataza chadema maana ni siku yao.
Msilazimishe
 
Safi, muhimu record iwepo ili siku mambo yakija kutokea wave ya 2 lawama zisiwepo.

Hadi leo namshangaa Samuya aliyesema hajui sababu ya yale maandamano ilikua ji nini.
 
UN haijafa bado ila Trump kaijeruhi .
UN imebaki kwenye makaratasi tu kama moto wa kuchora, ilikuwa imeshajeuriwa kwa mataifa makubwa mawili ya Marekani na Urusi kuidharau mara kadhaa na kuwa na double standards ila Trump kaja kuimalizia na kuizika kabisa hadi kaanzisha UN yake ndogo anayoiita Board of Peace.
 
Reactions: Lax
Chadema kila siku ni mtu wa miscalculations,
 
Si vibaya kuweka record sawa kwenye jumuiya za kimataifa, lakini ukweli hiyo taasisi kwa sasa ni useless. Machafuko tu kama yale ya mo29 ndio yatabadili mambo hapa kwetu. Cdm isipoteze muda na huko nje wabaki humu humu ndani wawashawishi wananchi kupambana hadi kupata mabadiliko.
 
UN haijafa bado ila Trump kaijeruhi .
kwahiyo,
ina majeraha mabaya sana right?

sasa inaweza kufanya chochote popote duniani kweli?
au trump kaikaba koo inashindwa kupumua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…