Leo nimemsikiliza sana Ndugu J.Mnyika akitoa ushauri juu ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23.
Nimemsililiza na mengi nimekubaliana naye hasa ugumu wa maisha kwa wananchi.
Anaendelea kushauri kuwa punguzo la bei ya mafuta kwa sasa bado haijamsaidia mwananchi na hivyo Serikali ione uwezekano wa kupunguza bei zaidi.
Amegusia pia gesi asilia kuwa Serikali iendelee kuhakikisha gesi hii inawafikia wananchi majumbani hata kwenye magari.
Kweli Jamaa yuko vizuri japo yuko kwenye upinzani.