CHADEMA yaingia Jimbo la Nyasa

CHADEMA yaingia Jimbo la Nyasa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Katibu wa CHADEMA kanda ya Kusini , Governor Kaduma na kikosi kaI chake wameendelea kusambaza elimu ya Katiba Mpya ndani ya kanda hiyo .

Hapa ni jimbo la Nyasa , hili ni eneo ambalo miaka ya nyuma wakazi wake waliamini kwamba ukiondoka ccm unakufa , lakini baada ya Chadema kuendelea kuwafundisha hali ya sasa ni hii hapa .

FB_IMG_1680044650866.jpg
FB_IMG_1680044658231.jpg
FB_IMG_1680044666067.jpg
 
Apo vijana wa buku saba na act watakuja kusema mnamtukana jiwe
 
Back
Top Bottom