CHADEMA yajitetea kinafiki. Yadai kuwa haikuwachongea akina Mwambukusi na wenzake mkutano ili Polisi wawazuie

CHADEMA yajitetea kinafiki. Yadai kuwa haikuwachongea akina Mwambukusi na wenzake mkutano ili Polisi wawazuie

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
20231009_200425.jpg
 
Nafikiri statement ya chadema iko wazi kabisa na chadema hawawezi kushirikiana na jeshi la polisi kwenye ujinga huo! Ni wazi jeshi ndio linataka kuwachonganisha chadema na wananchi ili kuwagawa…

Vitu vidogo kama hivi mnatakiwa kuvifahamu mapema
 
Hawa CHADEMA nao.

Wanalalamika kuhusu haki zake kikatiba na kisheria za kutokusumbuliwa, wakati huhuo wakisumbuana na wakina Adv. Mwabukusi na DKt Slaa.

Mbula.
 
Nafikiri statement ya chadema iko wazi kabisa na chadema hawawezi kushirikiana na jeshi la polisi kwenye ujinga huo! Ni wazi jeshi ndio linataka kuwachonganisha chadema na wananchi ili kuwagawa…

Vitu vidogo kama hivi mnatakiwa kuvifahamu mapema
Hayo masuala ni Vitu vidogo kweli?

Je, CHADEMA walitoka kukemea jambo hilo(kuzuiwa kwa mkutano) lilipotokea mara moja lilipotokea?
 
Mwabukusi anawaburuza Mapolisi Mahakamani soon.
 
Back
Top Bottom