LGE2024 CHADEMA yakanusha kujitoa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimesema hakijajitoa na wala hakina mpango wa kujitoa kwa Sasa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2024.

Kimewahimiza wanachama wake walioteuliwa nchi nzima kuanzis tarehe 26 Oktoba, 2024 wajitokeze mapema kwenda kuchukua fomu za Serikali za kugombea nafasi mbalimbali walizoteuliwa na Chama.

Pia soma: POTOSHI - Rasmi CHADEMA kususia uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024

20241026_091726.jpg
 
View attachment 3135544

Pia soma: POTOSHI - Rasmi CHADEMA kususia uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024
Chama hakina mpango wa kujifoa "Kwa sasa!" Kwa hiyo dhamira ya kutia mpira kwapani ipo. 🙏🙏🙏
 
Si walisema bila katiba mpya hawafanyi uchaguzi
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimesema hakijajitoa na wala hakina mpango wa kujitoa kwa Sasa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2024.

Kimewahimiza wanachama wake walioteuliwa nchi nzima kuanzis tarehe 26 Oktoba, 2024 wajitokeze mapema kwenda kuchukua fomu za Serikali za kugombea nafasi mbalimbali walizoteuliwa na Chama.

Pia soma: POTOSHI - Rasmi CHADEMA kususia uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024

View attachment 3135544
KUIAMINI CHADEMA NI SAWA NA KUIAMINI CCM ...MIMI BINAFSI NADHANI CHADEMA KUNA WATU WANATUMIWA NA CCM YA SAMIA ILI.KUFANIKISHA UHUNI WA USHINDI WA SAMIA ...Ndani ya chadema uenda mbowe ni kibaraka wa samia ...kwa kutumia akili samia akubaliki hivyo kinachofanya na samia ni kutumia upinzani kufanikisha ushindi wake
 
Back
Top Bottom