Chama hakina mpango wa kujifoa "Kwa sasa!" Kwa hiyo dhamira ya kutia mpira kwapani ipo. πππChama cha Demokrasia na Maendeleo kimesema hakijajitoa na wala hakina mpango wa kujitoa kwa Sasa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2024.
Kimewahimiza wanachama wake walioteuliwa nchi nzima kuanzis tarehe 26 Oktoba, 2024 wajitokeze mapema kwenda kuchukua fomu za Serikali za kugombea nafasi mbalimbali walizoteuliwa na Chama.
View attachment 3135544
Pia soma: POTOSHI - Rasmi CHADEMA kususia uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024
Kama ikitokea kama ilivyofanyika mwaka 2019 wagombea 99% kuenguliwa utabakia kwenye uchaguzi kufanya nini?Chama hakina mpango wa kujifoa "Kwa sasa!" Kwa hiyo dhamira ya kutia mpira kwapani ipo. πππ
Kama uliona ni sawa waliposema hivyo, inabidi uone sawa pia sasa wanaposema watashiriki bila hiyo katiba mpya. Una tatizo na hilo?Si walisema bila katiba mpya hawafanyi uchaguzi
KUIAMINI CHADEMA NI SAWA NA KUIAMINI CCM ...MIMI BINAFSI NADHANI CHADEMA KUNA WATU WANATUMIWA NA CCM YA SAMIA ILI.KUFANIKISHA UHUNI WA USHINDI WA SAMIA ...Ndani ya chadema uenda mbowe ni kibaraka wa samia ...kwa kutumia akili samia akubaliki hivyo kinachofanya na samia ni kutumia upinzani kufanikisha ushindi wakeChama cha Demokrasia na Maendeleo kimesema hakijajitoa na wala hakina mpango wa kujitoa kwa Sasa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2024.
Kimewahimiza wanachama wake walioteuliwa nchi nzima kuanzis tarehe 26 Oktoba, 2024 wajitokeze mapema kwenda kuchukua fomu za Serikali za kugombea nafasi mbalimbali walizoteuliwa na Chama.
Pia soma: POTOSHI - Rasmi CHADEMA kususia uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024
View attachment 3135544
YesKama uliona ni sawa waliposema hivyo, inabidi uone sawa pia sasa wanaposema watashiriki bila hiyo katiba mpya. Una tatizo na hilo?