Waberoya Platinum Member Joined Aug 3, 2008 Posts 15,168 Reaction score 10,810 Jul 22, 2020 #21 Erythrocyte said: Uongo utakusaidia nini? Click to expand... Una roho ngumu sana Utakufa kwa presha ndugu
Erythrocyte said: Uongo utakusaidia nini? Click to expand... Una roho ngumu sana Utakufa kwa presha ndugu
shungurui JF-Expert Member Joined Sep 1, 2008 Posts 3,765 Reaction score 5,160 Jul 22, 2020 #22 Nazani mmekuja na njia hii ili muwajue wagombea wa chadema ili muwanunue, maana mmeona baada polisi kushindwa kuifanya hii kazi ya kutafuta majina ndio mmekuja, huku jf.
Nazani mmekuja na njia hii ili muwajue wagombea wa chadema ili muwanunue, maana mmeona baada polisi kushindwa kuifanya hii kazi ya kutafuta majina ndio mmekuja, huku jf.
G Godfrey-K JF-Expert Member Joined Jan 5, 2016 Posts 1,925 Reaction score 3,672 Jul 22, 2020 #23 Crimea said: Weka majina ya wagombea wa chadema kwenye hizo sehemeu Click to expand... Bukombe anaitwa, Renatus pesa Nzemo, acha uongo wewe
Crimea said: Weka majina ya wagombea wa chadema kwenye hizo sehemeu Click to expand... Bukombe anaitwa, Renatus pesa Nzemo, acha uongo wewe
Chakaza JF-Expert Member Joined Mar 10, 2007 Posts 40,455 Reaction score 73,145 Jul 22, 2020 #24 Raja Casablanca said: kutwaa dola ? hivi unajua kutwaa dola ni nini ? unadhani ni rahisi eeh ? Click to expand... Hivi kama jiwe limeweza atashindwa sungura aliye hai?
Raja Casablanca said: kutwaa dola ? hivi unajua kutwaa dola ni nini ? unadhani ni rahisi eeh ? Click to expand... Hivi kama jiwe limeweza atashindwa sungura aliye hai?