Mwande na Mndewa JF-Expert Member Joined Feb 26, 2021 Posts 1,322 Reaction score 3,648 Jun 16, 2026 #1 Mwanadamu daima si malaika,walisema ni Rais mbaya kuwahi kutokea ila sasa ubatizo wanaoupata unawafanya wajue yupi mbaya na yupi mzuri, Your browser is not able to display this video.
Mwanadamu daima si malaika,walisema ni Rais mbaya kuwahi kutokea ila sasa ubatizo wanaoupata unawafanya wajue yupi mbaya na yupi mzuri, Your browser is not able to display this video.
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 51,453 Reaction score 41,274 Jun 16, 2026 #2 Mwande na Mndewa said: Mwanadamu daima si malaika,walisema ni Rais mbaya kuwahi kutokea ila sasa ubatizo wanaoupata unawafanya wajue yupi mbaya na yupi mzuri, View attachment 3609285 Click to expand... japo unafiki ni kipaji chao, lakini hii ni zaidi ya unafiki aise, dah!🐒
Mwande na Mndewa said: Mwanadamu daima si malaika,walisema ni Rais mbaya kuwahi kutokea ila sasa ubatizo wanaoupata unawafanya wajue yupi mbaya na yupi mzuri, View attachment 3609285 Click to expand... japo unafiki ni kipaji chao, lakini hii ni zaidi ya unafiki aise, dah!🐒
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 12,134 Reaction score 27,519 Jun 16, 2026 #3 Magufuli ndio alimmwagia Saa & Lisasi kwa mkono wake mwenyewe. Ndio alishiriki Kumpiga Lissu Lisasi 32. Magufuli alikuwa Fala sana
Magufuli ndio alimmwagia Saa & Lisasi kwa mkono wake mwenyewe. Ndio alishiriki Kumpiga Lissu Lisasi 32. Magufuli alikuwa Fala sana
Suleiman 1988 Senior Member Joined Mar 27, 2026 Posts 126 Reaction score 244 Jun 16, 2026 #4 Unapenda kujifariji mkuu