CHADEMA yaomboleza Msiba wa Mzee Mwinyi

Chadema imetumia Salam za Pole kwa Rais wa JMT mh Dr Samia, Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi na familia ya marehemu Mzee Ali Hassan Mwinyi

Naibu Katibu mkuu Zanzibar mh Salum Mwalimu amesema Mwenyekiti Mbowe ataongoza ujumbe wa Chadema kwenye mazishi ya mzee Mwinyi kesho Zanzibar

RIP mzee Rukhsa
 
Aende akateme pumba kama alizotema kwenye msiba wa Lowassa.
 
Bahati nzuri mwinyi hakuhamia chadema hivyo aende kwa adabu
 
Huyu Mzee namkumbuka alivyowashughulikia wale wahuni waliokuwa wanavunja mabucha yetu ya vitimoto.
Afu Mzee wa Lupaso akamalizia na kile kipigo cha mbwa mwizi pale mwembechai.
 
Huyu Mzee namkumbuka alivyowashughulikia wale wahuni waliokuwa wanavunja mabucha yetu ya vitimoto.
Afu Mzee wa Lupaso akamalizia na kile kipigo cha mbwa mwizi pale mwembechai.
Aiseeeeee !!!
 
Aende akateme pumba kama alizotema kwenye msiba wa Lowassa.

Kwa hiyo akili uliyo nayo, huwezi kuwa na uwezo wa kutambua kilicho pumba na kisicho pumba.

Sina shaka akili uliyo nayo inaishia tu kutambua kama una njaa au umeshiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…