Sasa atang'olewa vipi wakati amestaafu? Dah!Mkuchika amestaafu ubunge!
Amestaafu lini ?Mkuchika amestaafu ubunge!
Kastaafu baada ya kupitishwa kugombea?Sasa atang'olewa vipi wakati amestaafu? Dah!
Huo ni kweli mchungu kwake wanaccm wengi hawamkubali tenaMkuchika mwisho wake umefika rasmi
Walikimbia na massnduku ya kura??Yaliyotokea 2015 yasije yakajirudia tena kwenye jimbo hilo ilikuwa ni aibu sana.
Ndio ujue uchawi upoAkina polepole hakuiona hiyo shikamoo
Kilichofanyika ilikuwa ni hatari zaidi kukisema hapa.Walikimbia na massnduku ya kura??