PgSoft2008
JF-Expert Member
- May 15, 2008
- 264
- 73
Jamani kuna tetesi ya mtu muhimu mmoja wa chadema aliekuwa akifuatilia database in making comparison of what has been published by NEC has been lost since yesterday.
A case has been reported to Oysterbay police station.
Mwenye zaidi ajalizie
Nawakilisha
Du, Mkuu source ya info na kama unaweza kutupatia jina lake tutafurahi may we might know his ware about
Msitutie presha jamani!!! tunataka facts.
Wanataka kushindana na Mungu?
Mungu na Yesu ni wa chadema peke yako.chapakazi mungu kaingiaje hapa?