Elections 2010 CHADEMA yapotelewa na mmoja wao

Mbona hatajwi jina au ni uzushi jamani, usimshuhudie uongo jirai yako
 
Jamani tunaomba update ya hili swala
 
Wanataka kushindana na Mungu?


Mambo yakiwa hatua hiyo, ni vyema tumtegemee Bwana muweza yote awafungue nyoyo hawa mafisadi wasimtende chochote huyo mwanaharakati Kwa jina la aliyeumba mbingu na nchi WASHINDWE NA WALEGEEEEE AMEN
 
Lile container la kura lilianguka pale Biafra juzi usiku....ulinzi ulikuwa mkali kishenzi
 
hatuko mbali sana na DRC. ccm wanadai chadema wanahubiri kumwaga damu, Dr Slaa aliwajibu kwa kuhubiri amani katika kampeni yake nzima lakini akasema ccm na serikali ndio wanaohatarisha amani. vizruri kuanza kutafakari mbinu na kauli za kampeni
 
Wao wana hela sisi tuna mungu... Yote haya yatapita tuu...

Na ukweli utajulikana....
 
Hii ni nuksi lakini mie sishangai udikiteta ulianza siku nyingi this time itakuwa mara mbili -ni bora tuanike uozo wote dr slaa come out man talk to us we are ready
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…