PreGE2025 CHADEMA yaripoti kifo cha mtu mmoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wamekufa wachache bado sana tena bado sana ....
 

Kama kuwatupa watu Mabwepande na kuwapiga na kuwaua basi Mungu ashughulike na nafsi yako
 
Maza kadanganywa, kwa syle hii hatoboi - hii ni Tanganyika na watanganyika bado hawajasahu utanganyika wao - ndani ya CCM kuna watanganyika wengi tu ambao wapo kimya kulinda usalama wao.
 
Siugui akili, na kama wewe ukiona naugua akili kwa hali hii ni sahihi tu, ila furaha yako juu ya kifo kisicho hatia itajibiwa very soon.
Hebu karudie kusoma ulikoninukuu we makalio
 
Safi szna.hakunna.kucheka na wanaoleta vurugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…