PreGE2025 CHADEMA yaripoti kifo cha mtu mmoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwenzao hawamjui jina!?..kama kweli basi rip,na si jambo zuri kuuana
Inasemekana hiyo ndio sign ya kuwa dola ipo. Yaani dola inajitambulisha uwepo wake kwa kuua waliohudhiria mahakamani!
 
Safi kabisa.Tandika nyumbu hao
 
Chadema wanataka kutumia mbinu za Hamas kutikisa mzinga wa Nyuki alafu unapiga kelele
 
Mamlaka zilitoa tahadhari mapema
 
Si wanasema kinuke sasa kifo cha mtu mmoja tu wanaripoti je kikinuka kweli hali itakuaje au ndo kina Lema na Lissu watakimbilia Canada na Belgium sisi tuendelee kuuuna
 
VYAMA VYENYE MAONO VIMEKUBALI KUSHIRIKI UCHAGUZI. PILITICS IS CALCULATION NOT PROVOCATION.
Ni kweli, maana viko tayari kusubiri hisani ya ccm kwenye uchaguzi. Cdm wamekataa ujinga huo. Kama ccm wanaamini watatawala nchi hii siku zote, basi wasubiri kuona wasichotegemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…